Job 33:15-18

15 aMungu husema na mwanadamu katika ndoto,
katika maono ya usiku,
wakati usingizi mzito uwaangukiapo
wanadamu wasinziapo vitandani mwao,
16 banaweza akasemea masikioni mwao,
na kuwatia hofu kwa maonyo,
17 cili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya
na kumwepusha na kiburi,
18 dkuiokoa nafsi yake na shimo,
uhai wake usiangamizwe kwa upanga.
Copyright information for SwhNEN